Tanzania

Naibu Waziri ashiriki miaka 80 uhuru wa Vietman

DAR ES SALAAM: Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Cosato Chumi, amemwakilisha Waziri wa Mambo…

Soma Zaidi »

CCK kuunda serikali ya umoja wa kitaifa

MGOMBEA urais kupitia Chama cha Kijamii (CCK), David Mwaijojele amesema chama chake kitaunda serikali ya umoja wa kitaifa kama kitapata…

Soma Zaidi »

Uzalendo utawale wakati wa kuripoti Uchaguzi Mkuu

AMANI, utulivu, umoja na mshikamano ni vitu muhimu ambavyo nchi ya Tanzania imebarikiwa na vinaliliwa na kutafutwa na mataifa mengine.

Soma Zaidi »

Bahemu mgombea ubunge CCM Ngara

BUKOBA : MGOMBEA Ubunge Ngara kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dotto Bahemu ameibuka kuwa mgombea pekee katika Jimbo la Ngara…

Soma Zaidi »

Ahadi za kampeni ziwe za kutekelezeka

KIJIWENI leo tupo na wananchi wa Mkoa wa Morogoro wakizunguza kuhusu kampeni za Uchaguzi Mkuu 2025 zilizoanza tangu Agosti 29,…

Soma Zaidi »

Wagombea Ubunge 49 wapitishwa na INEC Temeke

DAR-ES-SALAAM : WAGOMBEA wa ubunge 49 wamepitishwa kugombea nafasi hiyo katika majimbo matatu yaliyopo wilayani Temeke, Dar es Salaam baada…

Soma Zaidi »

Aliyemshitaki Mpina agoma kung’oka ACT

ALIYEDAIWA kufutwa uwanachama katika Chama cha ACT Wazalendo, Monalisa Ndala amekataa tamko la chama chake kumvua uwanachama, akidai yeye bado…

Soma Zaidi »

Wagombea Morogoro washukuru kwa maendeleo majimboni

MOROGORO: WAGOMBEA Ubunge wa Majimbo ya Kilosa, Mvomero na Mikumi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) wameelezea mafanikio ya Serikali ya…

Soma Zaidi »

Mpango: Samia amedhihirisha anaimudu vizuri kazi ya urais

DODOMA : MAKAMU wa Rais, Dk Philip Mpango amesema mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu…

Soma Zaidi »

Mgombea Ubunge CUF ataja vipaumbele 13 vya maendeleo

MOROGORO MGOMBEA wa ubunge katika Jimbo la Morogoro Mjini kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Nyambi Athuman amesema ilani ya chama…

Soma Zaidi »
Back to top button