Tanzania

Rais Samia afanya mabadiliko ya Uongozi

DAR ES SALAAM — Rais Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko makubwa ya uongozi serikalini kwa kuwahamisha na kuwateua viongozi mbalimbali wa…

Soma Zaidi »

Ambindwile autabiria makubwa uchumi wa ‘salon’

IRINGA: KATIKA ulimwengu unaobadilika kwa kasi, sekta ya ‘salon’ imekuwa si tu tasnia ya urembo, bali pia chanzo muhimu cha…

Soma Zaidi »

Katibu Mtendaji Tume ya Madini ahimiza ubunifu, weledi

KATIBU Mtendaji wa Tume ya Madini, Mhandisi Ramadhani Lwamo, na Mkurugenzi wa Rasilimaliwatu na Utawala, Nsajigwa Kabigi, wametembelea banda la…

Soma Zaidi »

Wajane watakiwa kuchangamkia fursa

MTWARA: WAJANE mkoani Mtwara wametakiwa kujihusisha katika fursa mbalimbali ikiwemo kilimo cha mazao mchanganyiko, uvivu na ushonaji ili waweze kujikwamua…

Soma Zaidi »

Vijiji 4,679 vyawekwa mpango matumizi bora ardhi

ARUSHA; SERIKALI imesema imeandaa jumla ya mipango ya matumizi bora ya ardhi 2,480 katika kipindi cha miaka minne, ambapo vijiji…

Soma Zaidi »

Mtikisiko majimboni

IKIWA imebaki miezi minne kabla ya kufanyika Uchaguzi Mkuu, Oktoba mwaka huu hekaheka na sarakasi za watia nia zimeshika kasi…

Soma Zaidi »

Bodi ya Ithibati yaongeza muda kujisajili hadi Juni 28

BODI ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imeongeza muda wa kujisajili kwenye mfumo wa TAI-Habari wa siku saba mpaka…

Soma Zaidi »

Johari aeleza sheria za uchaguzi zilivyorekebishwa

MWANASHERIA Mkuu wa Serikali, Hamza Johari ameshangazwa na madai ya watu kudai mabadiliko kabla ya uchaguzi mkuu kufanyika wakati serikali…

Soma Zaidi »

Tec yapiga marufuku wanasiasa kusimama madhabahuni

BARAZA la Maaskofu katoliki nchini (TEC) limepiga marufuku viongozi wa kisiasa au kiserikali kupewa nafasi ya kuzungumza madhabahuni, iwe kusalimia,…

Soma Zaidi »

Samia aomba machifu waliombee taifa

RAIS Samia Suluhu Hassan amewataka machifu, watemi na viongozi wa kimila kuombea taifa kuelekea uchaguzi mkuu huku akikemea ramli chonganishi…

Soma Zaidi »
Back to top button