Tanzania

Mwenge wazindua mradi wa bil 2.7/-

Mwenge wa Uhuru umezindua mradi wa maji wenye thamani ya sh bilioni 2.7 ambao utahudumia wakazi zaidi ya 4000 katika…

Soma Zaidi »

Wenyeviti, watendaji watakiwa kuzingatia sheria, waonywa dhamana holela

IRINGA: MWENYEKITI wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Kanda ya Iringa, Moses Ambindwile, amewataka wenyeviti wa mitaa na watendaji wa…

Soma Zaidi »

Mradi visima majimboni Wilaya ya Geita wafikia 60%

WAKALA wa Majisafi na Usafi wa Mazingira Vijijni (RUWASA) wilaya ya Geita imeweka wazi kuwa imefikia asilimia 60 ya utekelezaji…

Soma Zaidi »

RAS Arusha ataka mikopo ikusanywe iwafaidishe wengine

ARUSHA: KATIBU Tawala Mkoa wa Arusha, Missaile Musa ameitaka Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro kuhakikisha inakusanya fedha za mikopo ya…

Soma Zaidi »

Kampeni ya Kisheria ya Mama Samia yanufaisha maelfu magerezani

JESHI la Magereza limesema kampeni ya kitaifa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia, imeleta manufaa makubwa kwa wafungwa na…

Soma Zaidi »

PSSSF Kanda ya Kusini yawanoa Wanahabari

MFUKO wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma ( PSSSF) Kanda ya kusini unaosimamia Mikoa ya Lindi, Mtwara na…

Soma Zaidi »

Serikali itusaidie kuipaisha zaidi sekta ya utalii -Beatrice Dimitris

ARUSHA: BAADA ya Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kuifungua sekta ya utalii, wadau na wafanyabiashara wanaendelea kutumia fursa hiyo…

Soma Zaidi »

Mapitio ya sera kusaidia walemavu vifaa vya teknolojia 2026

DAR ES SALAAM: SERIKALI imesema inafanya mapitio ya sera ya watu wenye ulemavu ya mwaka 1982 ili kujumuisha mambo mbalimbali…

Soma Zaidi »

‘Mchumba’ amjeruhi mwenza, mtoto

MWANAMKE mkazi wa Kijiji cha Nyahera, Kata ya Tai, Wilaya ya Rorya mkoani Mara, Night Mchama (27) na mwanawe mwenye…

Soma Zaidi »

DC Lindi: “Jitihada hazijawahi kumtupa mtu”

LINDI: Mkuu wa Wilaya ya Lindi, Victoria Mwanziva, amewaahauri vijana wanaotoka wilaya hiyo kuongeza juhudi  kwa kila walifanyalo ili kutimiza…

Soma Zaidi »
Back to top button