Tanzania

‘Sheria Huduma za Habari haijatoa huruma kwa wasio na sifa’

DAR ES SALAAM; Sheria ya Huduma za Habari ya mwaka 2016, haijatoa fursa ya kuwafikiria waandishi wa habari au watu…

Soma Zaidi »

JK ashiriki mafunzo ya mawaziri Harvard

BOSTON : RAIS Mstaafu Dk. Jakaya Mrisho Kikwete yuko Boston nchini Marekani, akishiriki katika mafunzo ya Mawaziri wa Fedha na…

Soma Zaidi »

Kilwa Kivinje; mji mdogo historia ‘nzito’

LINDI; KILWA Kivinje ni mji mdogo ulio pembezoni mwa Bahari ya Hindi katika Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa mkoani Lindi.…

Soma Zaidi »

Mufti ateua mshauri wa dini, uchumi

DODOMA; SHEHE Mkuu wa Tanzania, Mufti Abubakar Zubeir amemteua Ismail Dawood kuwa mshauri wake katika masuala ya dini, uchumi, maendeleo…

Soma Zaidi »

Majaliwa atoa maagizo kuimarisha ushirika

DODOMA; SERIKALI imeiagiza Wizara ya Kilimo iimarishe na kufanya ufuatiliaji wa watendaji wa vyama vya ushirika ili wazingatie maadili ya…

Soma Zaidi »

BBT yazidi kunoga

SERIKALI imezindua mradi wa mashamba makubwa utakaotekelezwa kwa miaka mitano kwa gharama ya dola za Marekani takribani milioni 241.27 (Sh…

Soma Zaidi »

Matapeli mitandaoni sasa kudhibitiwa na IA

DAR ES SALAAM: MATAPELI wanaofanya vitendo vya utapeli mitandaoni sasa watadhibitiwa na teknolojia ya Akili Mnemba ikiwa ni juhudi kuimarisha…

Soma Zaidi »

Waziri Kombo awasili Vietnam

VIETNAM : WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,Balozi Mahmoud Thabit Kombo , amewasili jijini Hanoi kwa…

Soma Zaidi »

Mchungaji afurahishwa kampeini ya kisheria kufika kanisani

MCHUNGAJI Wilson Wilibadi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Dayosisi ya Kaskazini Magharibi KKKT mtaa wa Mshasha kata Mshasha wilayani…

Soma Zaidi »

Sherehe za Muungano zanoga Sumbawanga

RUKWA; WANAFUNZI wa shule mbalimbali za sekondari na msingi Manispaa ya Sumbawanga wamejitokeza kwa wingi katika kuadhimisha miaka 61 ya…

Soma Zaidi »
Back to top button