Tanzania

Wananchi Kitaya washukuru ujenzi wa barabara

WAKAZI wa kijiji cha dindwa kata ya kitaya Halmashauri ya Mji Nanyamba mkoani Mtwara wameiskuhuru serikali kwa kuwaletea mradi wa…

Soma Zaidi »

Picha: Matukio mbalimbali ziara ya Samia Muheza leo

RAIS wa Tanzania Dk Samia Suluhu Hassan, leo Februari 27, 2025 ameendelea na ziara yake mkoani Tanga kwa kutembelea Wilaya…

Soma Zaidi »

Serikali yadhamiria kupanua fursa wanafunzi elimu ya amali

ZAIDI ya shilingi Bilioni nne zimetumika kununua vifaa vya kufundishia na kujifunzia katika shule za Sekondari 25 za Serikali zinazotoa…

Soma Zaidi »

Atupwa jela maisha kwa kumnajisi mtoto wake

MOROGORO: MAHAKAMA ya Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro imemhukumu Juma Mkandira ,44, mkazi wa kijiji cha Kitunduweta – Mhenda, kifungo…

Soma Zaidi »

Mwinyi: EU ina mchango mkubwa Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi amefahamisha kuwa Umoja wa Ulaya(EU) una mchango…

Soma Zaidi »

Jela miaka 30 kwa kumnajisi mtoto

MKAZI wa kijiji cha Kijiweni, wilayani Sengerema, mkoani Mwanza, Masele Maganga ,42, amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela baada ya…

Soma Zaidi »

Vyombo vya habari vitumie AI kuhakiki taarifa

DAR-ES-SALAAM : MWENYEKITI wa Bodi ya Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake (TAMWA), Joyce Shebe, amevishauri vyombo vya habari kutumia…

Soma Zaidi »

Wanahabari tumieni teknolojia ya akili mnemba-AI

DAR-ES-SALAAM : MKURUGENZI wa Shirika la TMC linaloshughulikia maendeleo ya Tehama nchini, Asha Abinallah, amewashauri wadau wa vyombo vya habari…

Soma Zaidi »

Teknolojia Ai izingatie maadili na tamaduni

DAR-ES-SALAAM: MWAKILISHI kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Lilian Shirima, amesema serikali itaendelea kuboresha miundombinu ya kidigitali ili…

Soma Zaidi »

Jifunze Kiswahili

We proceed with the letter which start with letter H The word “haraka” in Kiswahili (Swahili) translates to “hurry” or…

Soma Zaidi »
Back to top button