Tanzania

Bilioni 4/- zalipa walimu Geita

SERIKALI imeweka wazi kuwa ndani ya kipindi cha miaka minne ya serikali ya awamu ya sita jumla ya walimu 5,061…

Soma Zaidi »

Dira 2050 yataka jamii yenye ujuzi kukabili changamoto

RASIMU ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 imesema ili kufi kia ukuaji endelevu wa kijamii na kiuchumi na kushindana…

Soma Zaidi »

“Wanawake tunapopata fursa tutende haki”

MKURUGENZI wa Ununuzi Wizara ya Nishati, Marieta Kiago amewashauri wanawake hususan vijana kuwa wanapopata nafasi za kufanyakazi kwenye maeneo au…

Soma Zaidi »

Ulega aanika Samia anavyopiga kazi Ujenzi

WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega amesema ujenzi wa Barabara ya Bagamoyo – Saadani hadi Pangani, ni pamoja na Daraja la…

Soma Zaidi »

Mahakama yamhukumu Luwongo kunyongwa

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es salaam iliyoketi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuhukumu mfanyabiashara, Khamis Luwonga…

Soma Zaidi »

Watatu wahukumiwa kunyongwa Musoma

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Musoma mkoani Mara, imewahukumu washtakiwa watatu adhabu ya kunyongwa hadi kufa kwa kosa la mauaji. Washtakiwa…

Soma Zaidi »

Wasaidizi wa kisheria wafundwa

DODOMA: JUMLA ya wasaidizi wa kisheria 300 wanatarajiwa kupatiwa mafunzo maalum kuhusu sheria zilizopo, kanuni, miongozo, na sera zinazohusiana na…

Soma Zaidi »

Ubalozi India kupokea wageni tuzo za uchoraji

UBALOZI wa India Tanzania umesema unatarajia kupokea wageni zaidi ya 1,000 wakiwemo wanafunzi wa shule shiriki, wazazi wao, na wageni…

Soma Zaidi »

Biteko ahimiza mshikamano, upendo, umoja Msalala

NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amesema kuwa angependa kuona wananchi wa Kahama wanashirikiana na kuungana…

Soma Zaidi »

Samia azindua ugawaji boti za kisasa nchi nzima

Rais Samia Suluhu Hassan akizundua ugawaji wa Boti kubwa za kisasa 120 pamoja na boti saidizi 118 kwa nchi nzima.…

Soma Zaidi »
Back to top button