Tanzania

Serikali yakemea ufugaji holela wa punda mitaani

GEITA: SERIKALI imekemea tabia ya ufugaji holela wa wanyama aina ya punda usiozingatia huduma, makazi na malazi stahiki kwa wanyama…

Soma Zaidi »

Kilomita 985 barabara ya Nyang’hwale zaidhinishwa

GEITA: SERIKALI imeidhinisha mtandao wa barabara mpya zenye urefu wa Km 985.28 katika Wilaya ya Nyang’hwale mkoani Geita zitakazohudumiwa na…

Soma Zaidi »

DC Kwimba asisitiza usimamizi wa karibu wa miradi

MWANZA: MKUU wa Wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza, Ng’wilabuzu Lúdigija, amesistiza umuhimu wa kusimamia kwa ukaribu utekelezaji wa miradi ya…

Soma Zaidi »

Mkazi Samuye asifu msaada wa kisheria

SHINYANGA: Mkazi wa kijiji cha Ishinabulandi kata ya Samuye Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga Kulwa Malale amesema Msaada wa kisheria…

Soma Zaidi »

Vijana kunufaika na mikopo isiyo na riba ya ufugaji samaki

KAGERA: Serikali kwa kushirikiana na Benki ya Maendeleo ya kilimo(TADB) inaendelea kutekeleza zoezi la utoaji wa mikopo isiyo na riba…

Soma Zaidi »

CAG mstaafu Utouh azungumzia mfumo wa PPP unavyopingwa

DAR ES SALAAM: Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Mstaafu, Ludovick Utouh, amesema mfumo wa Ubia kati…

Soma Zaidi »

Kamati yaeleza umuhimu wa sekta binafsi uwekezaji nchini

DAR ES SALAAM: KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imesema Serikali inatambua mchango wa sekta binafsi nchini…

Soma Zaidi »

Wamiliki bandari kavu watakiwa kuongeza ukubwa wa maeneo

DAR ES SALAAM: SERIKALI imeanza majadiliano na wamiliki wa bandari kavu pamoja na taasisi mbalimbali za umma kwa lengo la…

Soma Zaidi »

Wakazi wa Itwangi wajitokeza msaada wa kisheria

SHINYANGA: WAKAZI wa jimbo la Itwangi Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga wamejitokeza kupata msaada wa kisheria katika kampeni ya awamu…

Soma Zaidi »

Vijana 350 wapata ajira kampuni ya parachichi

NJOMBE: VIJANA 350 wa Kitanzania wameajiriwa kwenye kampuni ya parachichi ya AVO AFRICA iliyopo mjini Makambako mkoani Njombe. Kampuni hiyo…

Soma Zaidi »
Back to top button