Tanzania

Watanzania waongezeka makumbusho Ngorongoro

IDADI ya Watanzania wanaotembelea Makumbusho ya Jiopaki ya Ngorongoro-Lengai yaliyopo Wilaya ya Karatu mkoani Arusha imeendelea kuongezeka. Makumbusho hayo yalizinduliwa…

Soma Zaidi »

Mashindano Quran yameipa heshima Tanzania

MUFTI na Shehe Mkuu wa Tanzania, Dk Abubakar Zubeir, amesema mashindano ya kimataifa ya Quran Tukufu yanayoandaliwa na Taasisi ya…

Soma Zaidi »

Vijana Kagera wapewa elimu mikopo ya halmashauri

KAGERA: Kamati ya Utekelezaji ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM, (UV CCM) mkoani Kagera imezindua kampeini ijulikanayo…

Soma Zaidi »

Watoa wito wanaoichafua serikali mitandaoni

TANGA: KIKUNDI cha Amani nchini kimeitaka Serikali kupitia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuongeza kasi ya kuwafuatilia na kuwachukulia hatua…

Soma Zaidi »

Mkakati wasukwa ulinzi Ziwa Victoria

GEITA: SERIKALI inakusudia kuunda chombo maalum kwa ajili ya kuimarisha ulinzi na kudhibiti shughuli haramu ikiwemo uvuvi haramu ndani ya…

Soma Zaidi »

Kijaji azindua mikanda ya mawasiliano ya tembo

DODOMA: Waziri wa Maliasili na Utalii, Ashatu Kijaji amesema uwekezaji wa tekinologia ya  kutambua makundi ya tembo ili kudhibiti mwingiliano…

Soma Zaidi »

SHIRECU yanunua tani 387 za dengu kwa mil 386/- Shinyanga

SHINYANGA: CHAMA Kikuu cha Ushirika mkoani Shinyanga (SHIRECU) kimenunua tani 387 za dengu kwa thamani ya Sh milioni 386 kutoka…

Soma Zaidi »

Wajumbe SHIRECU wapitisha rasimu bajeti bil 2.8/-

SHINYANGA: WAJUMBE wa Chama Kikuu Cha Ushirika mkoani Shinyanga (SHIRECU)  wamepitisha rasimu ya bajeti ya zaidi ya Sh bilioni 2.8…

Soma Zaidi »

‘Taasisi za kifedha ziwezeshe wajasiriamali’

DAR ES SALAAM: Mkuu wa Magereza Mkoa wa Dar es Salaam, Rashid Mangara, amezitaka taasisi za kifedha kuongeza ubunifu katika…

Soma Zaidi »

Takukuru Rafiki yafanikisha ujenzi zahanati Kabare

KIGOMA: TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Kigoma imesema mpango wa taasisi hiyo kusikiliza kero za…

Soma Zaidi »
Back to top button