Zanzibar

Hemed ateuliwa tena Makamu wa Pili

ZANZIBAR : RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amemteua tena Hemed Suleiman Abdulla…

Soma Zaidi »

Othman aanza safari ya kuimarisha chama

MWENYEKITI wa Chama cha ACT Wazalendo na aliyekuwa mgombea urais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman, ameanza ziara maalum ya siku…

Soma Zaidi »

Rais Mwinyi amuapisha Mwanasheria Mkuu Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amemuapisha Dk. Mwinyi Talib Haji kuwa Mwanasheria…

Soma Zaidi »

Zuberi Maulid ashinda kwa kishindo Spika Baraza la Wawakilishi

BARAZA la Wawakilishi Zanzibar leo limemchagua Zuberi Ali Maulid wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa Spika wa Baraza hilo, baada…

Soma Zaidi »

Dk.Talib ateuliwa Mwanasheria Mkuu Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amemteua tena Dk Mwinyi Talib Haji kuwa…

Soma Zaidi »

Vijana watakiwa kuepuka mihemko na kulinda amani uchaguzi mkuu

ZANZIBAR : WAKATI Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar unatarajiwa kufanyika Jumatano, Oktoba 29, 2025, vijana wametakiwa kuepuka mihemko na badala yake…

Soma Zaidi »

Mambo shwari upigaji kura Zanzibar

ZANZIBAR : MKURUGENZI  wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Thabit Idarous Faina, amesema upigaji kura ya mapema unaendelea vizuri visiwani…

Soma Zaidi »

Wanaopiga kura Zanzibar leo watajwa

ZANZIBAR; BAADHI ya wananchi wa Zanzibar leo wanapiga kura ikiwa ni sehemu ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Katika uchaguzi…

Soma Zaidi »

Mwinyi Azindua Miradi ya Maendeleo Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imebuni…

Soma Zaidi »

JK awamwagia sifa Samia, Dk Mwinyi utekelezaji Ilani

RAIS mstaafu Jakaya Kikwete amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni chama cha vitendo. Kikwete amesema hayo katika Uwanja wa Jambiani,…

Soma Zaidi »
Back to top button