Chuo Kikuu kilichojengwa karne ya 12

Chuo Kikuu cha Sankore kilichopo Timbuktu, mji mkuu wa Mali, Bamako ndicho chuo kikuu cha kwanza na cha zamani zaidi barani Afrika na duniani kinachoaminika kujengwa na watu wa kabila la Mandinka la Afrika Magharibi katika karne ya 12. Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamadauni (UNESCO) lilitoa wito kwa wakazi wa eneo hilo kulinda urithi huo wa zamani wa Mali kwa ajili ya vizazi vijavyo.