City, Madrid wamekutana tena bwana!

DAR ES SALAAM: Ndoa ya Manchester City na Real Madrid imeendelea kudumu kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, baada ya droo kuonesha wanakutana tena kwenye hatua ya 16 ya michuano hiyo.
–
Hatua ya mtoano itaanza Machi 10-11.

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button