Daaah Wabongo bana!

Mkazi wa Dar es Salaam akijiandaa kuvuka barabara baada ya kupenya katika uzio unaotenganisha Barabara ya Morogoro na kuacha kutumia Daraja la watembea kwa miguu eneo la Mbezi. Uzio huo umewekwa ili kuzuia ajali zilizokuwa zikitokea mara kwa mara eneo hilo.

Habari Zifananazo

Back to top button