DC Kinondoni aisifu kampuni ajira kwa vijana

DAR ES SALAAM: Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Saad Mtambule amesema uwekezaji uliofanywa na Kampuni ya Dough Works Ltd umesaidia kuiunga  mkono serikali kwa kuwapa vijana ajira zaidi ya 800 jambo ambalo limesaidia kukua kwa uchumi katika wilaya hiyo.

Hayo ameyasema leo jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa mgahawa wake katika eneo la Kunduchi Mall nakusema kuwa serikali peke yake haitaweza kuajiri kila mtu hivyo sekta binafsi ina mchango mkubwa katika kuchechemua uchumi.

“Tunafurahia uwekezaji huu na tunafahamu mheshimiwa Rais wetu aliamuru kwamba tuunganishe nguvu tuipiganie nchi yetu na ameenddlea kuiunganisha nguvu na ametoa makuwa tunafahamu serikali peke yake haiwezi kufanya kila kitu hivyo uwekekezaji huu ni mkubwa katika wilaya yetu,”amesema Mtambule.

Kwa Upande wake Viloleth Temba Meneja Rasilimaliwatu Kampuni ya Dough Works Ltd amesema ni ufunguzi wa mgahawa wa 13 wa KFC na wa 9 Pizza Hut nchini na umewaajiri wananchi zaidi ya 800 katika maeneo yote migahawa hiyo ilipo

Habari Zifananazo

3 Comments

  1. I get paid over $220 per hour working from home with 2 kids at home. i never thought i’d be able to do it but my best friend earns over 15k a month doing this and she convinced me to try. the potential with this is endless…,

    This is what I do….. http://www.giftpay7.vip

  2. JOIN US Everybody can earn 250/h Dollar + daily 1K… You can earn from 12000-16700 Dollar a month or even more if you work as a part time job…It’s easy, just follow instructions on this page, read it carefully from start to finish… It’s a flexible job but a good earning opportunity. tab for more detail thank you……..
    .
    This is my main concern…………………… http://Www.Cash54.Com

  3. I just came across this amazing way to earn $11,000-$15,000 a month online! No selling, no struggle—just a simple system that anyone can follow. Mia Westbrook did it, and so can you! Don’t miss out on this life-changing opportunity.
    .
    This is what I do…………………… http://Www.Payathome9.Com

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button