Dk Abbas afunga ndoa na Mamy Baby wa Clouds

KATIBU Mkuu wa Wazara ya Utamaduni Sanaa na Michezo,   Dk Hassan Abbas leo mchana Desemba 30,2022 amefunga ndoa na mtangazaji wa Clouds Media Group, Mamy Baby.

Kupitia kurasa za CMG, wametoa taarifa hizo na kuambatanisha picha zinazoonesha wakiwa kwenye sherehe hiyo ya harusi.

#HabariLeoUpdates #DailyNewsUpdates #SpotiLeoUpdates

Habari Zifananazo

Subscribe
Notify of
guest
0 Comments
Inline Feedbacks
View all comments
Back to top button
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x