Dk Biteko afunguwa mkutano nishati Afrika

DAR ES SALAAM: NAIBU Waziri Mkuu na Waziri @wizara_ya_nishati_tanzania Dk. Doto Biteko akitoa hotuba ya utangulizi katika Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afrika ‘Mission 300’unaofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), jijini Dar es Salaam.

Mkutano huu unawakutanisha viongozi mbalimbali waandamizi wa kiserikali, asasi, jumuiya na mashirika ya kitaifa na kimataifa kujadili namna hali ilivyo na mikakati ya pamoja ya kuboresha huduma ya Nishati Afrika.

Advertisement

#Mission300 #AfDB #WorldBank #tanzaniatourism

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *