Gwaride la watoto mbele ya Rais Samia

Gwaride la Watoto likipita mbele ya Rais Dk Samia Suluhu Hassan kwenye maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi hilo yaliyofanyika katika Shule ya Polisi Tanzania (TPS), Moshi Mkoani Kilimanjaro leo Septemba 17.