Haturejeshi uhusiano na Israel bila Palestina

RIYADH:SERIKALI  ya Saudi Arabia imesema haitaanzisha uhusiano na Israel hadi taifa la Palestina.

Mwanamfalme Mohammed bin Salman amethibitisha msimamo huu, akisisitiza kuwa Saudi Arabia haitakubaliana na maamuzi yoyote ya kuwaondoa Wapalestina katika ardhi yao.

Hata hivyo, suala la kuimarisha uhusiano kati ya Saudi Arabia na Israel limekuwa likijadiliwa, lakini vita vya Gaza vilivyoanza Oktoba 2023 vimezuia mchakato huo.

SOMA: Saudi Arabia nje baraza la haki za binadamu

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button