AFRIKA KUSINI; Timu ya Yanga ya Dar es Salaam imetwaa Kombe la Toyota baada kuifunga Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini mabao 4-0 katika mchezo wa Kombe la Toyota uliofanyika Uwanja wa Toyota nchini Afrika Kusini leo Julai 28, 2024. (Picha na mtandao wa Yanga).
