Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake Chama cha ACT Wazalendo, Janeth Rithe amejiandikisha kupiga kura katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa, vijiji na vitongoji.
Janeth amejiandikisha katika Kata ya Ichemba kijiji cha Ichemba Jimbo la Ulyankulu Mkoa wa Tabora.
View this post on Instagram