Kamanda wa Polisi Tabora afariki dunia

TABORA; Kamandawa Polisi Mkoa wa Tabora (RPC), Richard Abwao amefariki dunia leo Juni 20, 2026 akiwa kwenye matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dar es Salaam.
Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paul Chacha amesema Kamanda Abwao alikuwa akipatiwa matibabu kwenye hospitali hiyo, lakini leo wamepokea taarifa hizo za kusikitisha.
Amemueleze hayati Avwao kama kiongozi shupavu aliyepambana kwa nguvu zote dhidi ya vitendo vya uhalifu mkoani Tabora, akibainisha kuwa mchango wake katika kuimarisha usalama wa wananchi utaendelea kukumbukwa.




Google is now paying $300 to $500 per hour for doing work online work from home. Last paycheck of me said that $20537 from this easy and simple job. Its amazing and earns are awesome. No boss, full time freedom and earnings are in front of you. This job is just awesome. Every person can makes income online with google easily…………
.
More Details For Us→→→→ https://Www.Payathome9.Com