Kamati yaguswa mafanikio umeme vijijini

GEITA: MWENYEKITIi wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini,  Subira Mgalu, amesema serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA), inaendelea kutekeleza miradi mbalimbali ya kusambaza umeme ili kuhakikisha wananchi wanaoishi pembezoni mwa miji na vijiji wanapata huduma hiyo muhimu kwa maendeleo ya kijamii na kiuchumi.

Akizungumzia mafanikio ya miradi ya kusambaza umeme Machi 15, 2026 katika kitongoji cha Elimu Kijiji cha Mshinde mkoani Geita, Magalu amesema kuwa Miradi inayotekelezwa inalenga kupanua wigo wa huduma ya umeme katika vitongoji 15 kwa kila jimbo la uchaguzi HEP 2(A) pamoja na mradi mkubwa wa kusambaza umeme kwenye vitongoji 9,009 Tanzania nzima Geita ikiwemo.

Pia Mwenyekiti huyo ameigaza Kampuni ya CCC Beijing Industrial & Commercial Co. Ltd, ambayo inatekeleza miradi mingi mkoani Geita kuhakikisha hadi kufikia Machi 28, 2026 inakamilisha mrradi ambapo kwa sasa utekelezaji wake ulikuwa umefikia asilimia 80 kukamilika haraka.

Kwa upande wake Naibu Waziri, Wizara ya Nishati,  Salome Makamba amewapongeza Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini kwa kuendelea kuisimamia vyema sekta ya nishati pamoja na ukaribu wao katika kufuatilia miradi ya kusambaza nishati ya umeme hadi kwenye vitongoji.

“Kipekee naipongeza Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini kwa kufika hadi kwenye vitongoji kuangalia utelekezaji wa miradi ya kimaendeleo; ikiwemo hii ya kufikisha umeme kwenye kitongoji cha elimu hapa katika kijiji cha Mshinde, hii ni mara ya kwanza kwa ugeni kama huu kufika mahali hapa,” amesema Makamba

Katika taarifa yake ya awali; Mkurugenzi wa Umeme Vijijini, Mhandisi, Jones Olotu ambaye pia alimwakilisha Mkurugenzi Mkuu wa REA alisema Mkoa wa Geita una jumla ya vijiji 486 na vitongoji 2,195, kupitia Miradi mbalimbali tayari huduma ya umeme imefika katika vijiji vyote 486 pamoja na vitongoji 1,193.

Mhandisi Olotu aliongeza kuwa ipo miradi kadhaa ya kusambaza umeme kwenye vitongoji inayoendelea katika Mkoa wa Geita ambapo baada ya kukamilika, mkoa huo utakuwa na jumla ya vitongoji 1,895 ambavyo vitakuwa na huduma ya umeme na kubakia vitongoji 300 tu ambavyo vitapatiwa huduma hiyo, ifikapo mwaka 2030.

Mhandisi, Olotu amesema serikali itaendelea kuhakikisha wananchi wengi wa mkoa huo wanafikiwa na huduma ya umeme ili kuchochea maendeleo na kuboresha maisha yao.

Habari Zifananazo

3 Comments

  1. MAWAZO YA RAFIKI YAKO KAZI - HAUKUOA MKE SAHIHI SIWEZI KUKUBALI MUWE MWILI MMOJA - BORA MUWE NA MWILI MMOJA NA GARI YA TAKATAKA says:

    Haya! Hapa ni mfano wa tangazo la ajira ambalo linaweza kuandikwa kwa ajili ya kuhariri kitabu cha wanandoa, kwa kutumia mtindo wa tangazo la gazeti:

    ### **TANGAZO LA AJIRA**

    **KAMPUNI YA WAJA YA BUZA**
    Inatangaza nafasi za ajira kwa wahariri wa vitabu.

    #### **Nafasi: Mhariri wa Kitabu cha Wanandoa**

    **Kitabu kinachohaririwa:**
    *“HAUKUOA MKE SAHIHI SIWEZI KUKUBALI MUWE MWILI MMOJA – BORA MUWE NA MWILI MMOJA NA GARI YA TAKATAKA”*
    Kilichoandaliwa na **Kampuni ya Waja Ya Buza**.

    **Maelezo ya Kazi:**
    Kampuni ya Waja Ya Buza inatafuta wahariri wenye ufanisi na uzoefu kwa ajili ya kuhariri kitabu cha wanandoa kinachozungumzia masuala ya ndoa, mahusiano, na changamoto zinazokutana na wanandoa. Kitabu hiki kinalenga kuleta mjadala kuhusu umoja katika ndoa na maadili ya kijamii, na kinahitaji mhariri ambaye ataweza kuboresha maandiko ya kitabu hicho kwa namna inayovutia na inayoeleweka.

    **Majukumu:**

    * Kurekebisha na kuhariri maandiko ya kitabu ili kuzingatia ubora wa kiandishi, sarufi, na mtindo.
    * Kuhakikisha kwamba ujumbe wa kitabu unafikika kwa wasomi na umma kwa ujumla.
    * Kutoa mapendekezo ya kuboresha yaliyomo ili liwe na manufaa kwa jamii, hasa kwa wanandoa na watu wanaozungumzia mahusiano.

    **Mahitaji:**

    * Uzoefu wa angalau miaka 2 katika kuhariri vitabu, makala, au maandiko yanayohusiana na masuala ya kijamii na mahusiano.
    * Uwezo wa kuelewa na kuchambua mada nzito zinazohusiana na ndoa na familia.
    * Ufanisi katika kutumia mbinu za kisasa za uhariri na kuandika.
    * Uwezo wa kufanya kazi kwa karibu na waandishi na wateja wengine ili kufanikisha mabadiliko ya kitaalamu.

    **Maslahi:**

    * Malipo ya ushindani kulingana na uzoefu na kiwango cha kazi.
    * Fursa ya kushiriki katika mradi wa kipekee wenye athari kubwa kwa jamii.

    **Jinsi ya Kuomba:**
    Waombaji wanatakiwa kutuma barua ya maombi pamoja na CV na mfano wa kazi za awali (kama zipo) kwa anwani ya **[email]** au kwa kutumia njia ya mtandao kwenye **[website]**.

    **Tarehe ya Mwisho ya Kuomba:**
    **[23/3/5000]**

  2. MAWAZO YA RAFIKI YAKO KAZI - HAUKUOA MKE SAHIHI SIWEZI KUKUBALI MUWE MWILI MMOJA - BORA MUWE NA MWILI MMOJA NA GARI YA TAKATAKA says:

  3. MAWAZO YA RAFIKI YAKO KAZI - HAUKUOA MKE SAHIHI SIWEZI KUKUBALI MUWE MWILI MMOJA - BORA MUWE NA MWILI MMOJA NA GARI YA TAKATAKA says:

    —.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button