Kambi ya magonjwa yasiyoambukiza yazinduliwa Zanzibar

ZANZIBAR: Mkurugenzi Idara ya Tiba ya Zanzibar Dk Msafiri Marijani akizungumza wakati wa uzinduzi rasmi wa kambi ya Huduma za Afya na Vodacom Tanzania Foundation.

Hatua hii inalenga kutoa huduma bure za upimaji wa afya, ushauri na elimu juu ya magonjwa yasiyo ambukiza kama shinikizo la damu na kisukari.
Kambi hii ya huduma za Afya inatarajiwa kuendelea katika mikoa mingine hivi karibuni.

Tukio hili limefanyika Visiwani Zanzibar na kushuhudiwa na Kaimu Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Dk Julieth Magandi ( Kushoto), Meneja wa Vodacom Tanzania Foundation Sandra Oswald (wa pili kulia).

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button