Karibu katika uzinduzi

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye akiwasili katika hafla ya uzinduzi wa Biashara ya Bima ya Shirika la Posta (Posta Insurance Broker) kati ukumbi wa Hoteli ya Mount Meru – Arusha, leo Julai 28, 2023. Kulia ni PostaMasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania, Macrice Daniel Mbodo.

#TanzaniayaKidijiti #PotaKidijitali #PostaBima #KaziIendelee

Advertisement
4 comments

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *