Kiongozi ACT ajiandikisha uchaguzi mitaa

KIONGOZI wa Chama Cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu amejiandikisha kupiga kura kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

Zoezi hilo limefanyika leo Oktaba 20, 2024 kijijini kwao Nshara – Kituo cha Nkwasangare, Kata ya Machame Kaskazini kwenye Kitongoji cha Marukeni, Jimbo la Hai, mkoani Kilimanjaro.

Advertisement