Kuagwa mwili wa Meja Jenerali Charles Mbuge

PICHA za matukio mbalimbali ya kuaga mwili wa marehemu Meja Jenerali Charles Mbuge (Mstaafu) jijini Dar es salaam leo ambapo kesho unatarajiwa kuzikwa Mkoani Mara. ( Picha na Samwel Swai)

Advertisement