Kumeanza kuchangamka Zanzibar!

ZANZIBAR; BAADHI ya mashabiki wa Simba wakiingia Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar kushuhudia mchezo wa kwanza wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya timu hiyo na Stellenbosch FC ya Afrika Kusini utakaofanyika leo Aprili 20, 2025 kuanzia saa 10 alasiri. (Picha kwa hisani ya Simba).
–