

Mafundi ujenzi wakitengeneza mtaro wa kupitisha maji ya mvua katika barabara ya Mtaa wa Lindi, Kariakoo jijini Dar es
Salaam. Eneo hilo hujaa maji hasa katika kipindi cha mvua na kusababisha usumbufu na uharibifu wa vyombo vya moto
vinavyoitumia. (Picha na Venance Nestory)
Add a comment