Maadhimisho Miaka 96 ya Jeshi la Ukombozi China

LEO Jamhuri ya Watu wa China inaadhimisha miaka 96 ya Jeshi la Ukombozi, sherehe zinazofanyika Ubalozi wa China jijini Dar es Salaam. 

Mgeni rasmi katika sherehe hizo, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Innocent Bashungwa akiwa na mwenyeji wake Balozi wa China nchini Tanzania, Chen Mingjian. 

 

Habari Zifananazo

4 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
Back to top button