Mabadiliko Simba yamtesa Mo

RAIS wa heshima wa klabu ya Simba SC, Mohammed Dewji amesema anakaribia kukata tamaa kwenye mchakato wa mabadiliko wa klabu hiyo.

“Mo ametoa kauli hiyo kwenye ukurasa wake wa Twitter.

Advertisement

“Transformation ya Simba bado haijakamilika. Huu ni mwaka wa 6. Karibuni ntakata tamaa.” Ameandika Mo.

https://twitter.com/moodewji/status/1678705702720634881?s=20

2 comments

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *