Madaktari Nigeria waanza mgomo usio na kikomo

MADAKTARI katika hospitali za umma nchini Nigeria wameanza “mgomo na usio na kikomo” kutokana na kile walichokieleza kuwa ni kushindwa kwa serikali kushughulikia malalamishi yao.

Madaktari wanaogoma ni asilimia kubwa zaidi ya madaktari katika hospitali za Nigeria.

Mgomo wa namna hiyo kwa kawaida huvuruga sana huduma za afya katika hospitali za serikali.

Miongoni mwa madai yao, ni pamoja na malipo ya haraka ya mishahara yote na posho mpya ya hatari.

Chama cha Madaktari cha Nigeria kinasema angalau madaktari 50 huondoka Nigeria kila wiki kwenda kufanya kazi nje ya nchi.

Hali mbaya za kazi, pamoja na malipo mabaya na kupanda kwa gharama ya maisha ni sababu kuu.

Habari Zifananazo

Subscribe
Notify of
guest
3 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
Catherine F. Sanchez
Catherine F. Sanchez
1 month ago

Making extra salary every month from house more than $15,000 just by doing simple copy and paste like online job. I have received $18,000 from this easy home job. Everybody can now makes extra cash online easily
.
.
.
By Just Follow———————–> https://fastinccome.blogspot.com/

yaxoyi4354
yaxoyi4354
1 month ago

Mike, great work. I appreciate your work since I presently make more than $36,000 a month from one straightforward internet business! I am aware that you are now making a good living online starting sb-05 with merely $29,000, and they are simple internet operational chores.
.
.
Just click the link————————>> https://onlinemarketing8uk.blogspot.com/

Money
Money
1 month ago

Taulo za kike

Tangazo.PNG
Back to top button
3
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x