Majaliwa mgeni rasmi mkutano maaskofu Pentekoste

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 19, 2024 ni mgeni rasmi katika kilele cha Mkutano wa Baraza la Maaskofu wa Makanisa ya Pentekoste Tanzania, unaofanyika katika ukumbi wa mikutano wa TAG, Miyuji jijini Dodoma.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)