Majaliwa, Mwanasheria Mkuu wa serikali bungeni

DODOMA: WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Hamza Johari, wakati wa kikao cha kwanza cha Mkutano wa Kumi na Saba wa Bunge, bungeni jijini Dodoma leo Oktoba 29.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)