

Makamu wa Rais Dk Philip Mpango akiwasili katika Uwanja wa Michezo wa Uhuru Jijini Windhoek nchini Namibia kushiriki Maombolezo ya Kitaifa na Ibada ya kumuaga aliyekuwa Rais wa Kwanza na Baba wa Taifa la Namibia hayati Dk Sam Nujoma leo Februari 28. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Add a comment