Mambo yamenoga Daraja la JP Magufuli

MWANZA; Rais wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan akipunga bendera kuashiria kuanza kutumika rasmi kwa Daraja la JP Magufuli (Kigongo-Busisi) lenye urefu wa km 3.0 pamoja na barabara unganishi zenye urefu wa km 1.66 mkoani Mwanza.