Matukio mbalimbali mkutano wa Rais Samia Maswa

SIMIYU; Rais wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Uwanja wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wilayani Maswa kwa ajili ya kuwahutubia wananchi kwenye mkutano wa hadhara leo Juni 18, 2025.
Shamrashamra za wananchi waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Rais Samia Suluhu Hassan uliofanyika katika Uwanja wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wilayani Maswa mkoani Simiyu.