Mchuchuli kugombea ubunge jimbo la Rufiji Pwani

PWANI: WAZIRI Kivuli wa Ofisi ya Rais -TAMISEMI kupitia ACT Wazalendo, Kulthum Mchuchuli amechukuwa fomu ya kugombea ubunge Jimbo la Rufiji.

Kulthum amekabidhiwa fomu hiyo na katibu wa jimbo hilo, Said Matimbwa.

SOMA ZAIDI: ACT yaongeza muda kuchukuwa, kurejesha fomu uchaguzi mkuu

Wagombea mbalimbali wanaendelea na zoezi la kuchukuwa fomu ya kuombea nafasi mbalimbali ndani ya chama hicho kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu. 

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button