Makamu wa Rais Dk Philip Mpango na Mwenza wake Mama Mbonimpaye Mpango wameungana na waumini wengine katika kushiriki Ibada katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Theresia wa Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki Tabora.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais ameshiriki Ibada hiyo kabla ya kuanza siku ya pili ya ziara ya kikazi mkoani Tabora.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)