Mpox ni hatari kwa dunia – WHO

GENEVA : SHIRIKA la Afya Duaniani – WHO limesema kuwa mlipuko wa ugonjwa wa mpox bado utaendelea kuwa ugonjwa wa hatari duniani.
Katika kikao maalum cha kamati kilichofanyika jijini Geneva, kilibaini kuwa ugonjwa huo unaweza kuwa hatarai endapo hautadhibitiwa duniani.
Tangu kuzuka kwa aina mpya ya kirusi kinachojulikana kama Clade 1b huko Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo,mataifa mengi yamekuwa na hofu ya kuzuka kwa ugonjwa huo.
Zaidi ya watu 50,000 kuwa na virusi vya mpox huku wengine 1080 wakifariki dunia katika Bara la Afrika. Soma: Mgonjwa wa mpox agundulika Uganda
Chanzo: Dw



