Mradi wa EACOP wazalisha zaidi ya ajira 10,000

DAR ES SALAAM: Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembe, amesema mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kutoka Uganda hadi Tanzania umezalisha zaidi ya ajira 10,000 pamoja na kuwajengea wananchi ujuzi mbalimbali wa kiufundi.

Ndejembe ameyasema hayo leo Januari 5, 2026 jijini Dar es Salaam wakati akizungumza na waandishi wa habari, akieleza kuwa mradi huo ulianza mwaka 2016 na unatarajiwa kukamilika Julai mwaka huu, baada ya kudumu kwa takribani miaka 10.

Amesema kupitia mradi huo, vituo vinne vikubwa vya mafuta kati ya sita vitajengwa nchini Tanzania, hatua itakayosaidia kukuza uchumi wa taifa na kuwanufaisha wananchi wa maeneo yanayopitiwa na bomba hilo.
Kwa upande wake, Waziri wa Nishati na Madini wa Uganda, Ruth Nankabirwa, amesema mradi wa EACOP umegharimu takribani Dola bilioni 4, na umechangia kutoa fursa za ajira kwa vijana pamoja na kuinua uchumi wa nchi husika.



l Get paid over $110 per hour working from home. l never thought I’d be able to do it but my buddy makes over $21269 a month doing this and she convinced me to try. The possibility with this is endless….
This is what I do………………………………….. https://Www.Cash54.Com
Google is now paying $300 to $500 per hour for doing work online work from home. Last paycheck of me said that $20537 from this easy and simple job. Its amazing and earns are awesome. No boss, full time freedom and earnings are in front of you. This job is just awesome. Every person can makes income online with google easily……….
.
More Details For Us→→→→→→→→→→ https://Www.Payathome9.Com