ARUSHA: NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Methusela Ntonda akiambatana na baadhi ya viongozi wa Wizara hiyo kukagua Maendeleo ya Mradi wa Ujenzi wa Uwanja wa Mpira wa Arusha wakati wa Kikao Kazi cha Mwezi cha Maendeleo ya Mradi huo.