NEMC yaunguruma kongamano la Anwani za Makazi

BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limetoa elimu ya mazingira kwenye Kongamano la Mwaka la Anwani za Makazi na Maonesho ya Teknolojia ya Huduma za Posta 2026 ihuhusuyo masuala mazima ya uhIfadhi na usimamizi wa mazingira kwa mujibu wa sheria ya mazingira ya mwaka 2004 na kanuni zake katika jijini Dar es Salaam.
Akizungumza katika kongamano hilo linalotarajiwa kufikia mwisho Februari 08, 2026, Mhandisi Mkuu wa NEMC, Jampyon Mbugi, amesema kuwa matumizi sahihi ya anwani za makazi ni nyenzo muhimu katika kuimarisha usimamizi wa mazingira kupitia mfumo wa NAPA ambao utaiwezesha NEMC kupata taarifa muhimu za uhifadhi na usimamizi wa mazingira.
Ameongeza kuwa elimu hiyo inalenga kuwajengea wananchi uelewa wa majukumu yao ya kisheria na kijamii katika kulinda mazingira.
Hata hivyo, anwani za makazi si utambulisho pekee wa maeneo bali ni chombo muhimu cha kupanga makazi na kusimamia mazingira kwa maendeleo yanayozingatia ustawi wa jamii na mazingira kwa ujumla.
Naye Mhandisi Migodi NEMC, Hezron Mwashibanda ameeleza kuwa huduma zinazotolewa katika banda la NEMC ni pamoja na udhibiti wa kelele chafuzi, ufuatiliaji wa utekelezaji wa Tathmini ya Athari kwa Mazingira (TAM/EIA), pamoja na utekelezaji wa sheria, ada na tozo za mazingira katika maeneo ya makazi na biashara.
NEMC inawakaribisha wananchi na wadau wote wa mazingira kupata elumu ya uhifadhi na usimamizi wa mazingira.




Sauti ya Mungu hata Makazi yao yana Anwani na Hati
I just came across this amazing way to earn $6,000-$8,000 a week online! No selling, no struggle—just a simple system that anyone can follow. Mia Westbrook did it, and so can you! Don’t miss out on this life-changing opportunity.
.
Follow Here ……………………… https://Www.Cash54.Com
I am making a real GOOD MONEY (300$ to 400$ / hr )online from my laptop. Last month I GOT check of nearly 18,000$, this online work is simple and straightforward, don’t have to go OFFICE, Its home online job. At that point this work opportunity is for you.if you interested.simply give it a shot on the accompanying site….Simply go to the BELOW SITE and start your work…
.
More Details For Us→→→→→→→→→ https://Www.Payathome9.Com
Sauti ya Mungu hata Makazi yao yana Anwani na Hati
Sauti ya Mungu hata Makazi yao yana Anwani na Hati.
Sauti ya Mungu hata Makazi yao yana Anwani na Hati.