MCHEZO wa nusu fainali ya kwanza ya Spanish Super Cup kati ya Barcelona na Athletic Bilbao inapigwa leo kwenye uwnaja wa King Abdullah Sports City uliopo jiji la Jeddah, Saudi Arabia.
Mshindi wa kipute hicho atakiutana na fainali na mshindi wa nusu fainali ya pili itakayofanyika Januari 9 kwenye uwanja huo huo.
Fainali ya Spain Super Cup itapigwa Januari 12 kwenye uwanja wa King Abdullah Sports City, Jeddah, Saudi Arabia.