ROME: HALI ya kiongozi wa Kanisa katoliki duniani Papa Francis, inaendelea kuimarika.
Kwa mujibu wa taarifa iliyoripitiwa na Shirika la habari la Italia, ANSA imesema kwa sasa Papa Francis amelazwa katika hospitali ya Gemelli iliyoko mjini Rome.
Taarifa ya makao makuu ya kanisa Katoliki, Vatican imesema Papa Francis hatoweza kujitokeza hadharani kwa sababu madaktari wamemtaka apumzike kwa muda.
SOMA:Urusi yadai Vatican imeiomba radhi kufuatia kauli ya Papa