Matukio mbalimbali madhimisho miaka miwili ya Rais Samia

VIONGOZI mbalimbali wakiwa katika Maadhimisho ya Miaka miwili ya Rais wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan yanayofanyika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.

 Mbunge wa (CCM) Jimbo la Kawe, Josephat Gwajima akiwa kwenye maadhimisho hayo Uwanja wa Uhuru.

Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dk Ashatu Kijaji (kulia) akiteta jambo na moja ya viongozi waliofika katika maadhimisho hayo
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula ( aliyevaa miwani) akifurahi jambo na baadhi ya watu waliofika katika maadhimisho hayo
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar ea Salaam, Jumanne Muliro akielekeza jambo

Habari Zifananazo

Back to top button