Picha: Ado Shaibu aiteka Buchosa

KATIBU Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu amefanya mkutano wa hadhara katika Jimbo la Buchosa Mkoa wa Mwanza Septemba 28, 2024.

Wananchi waliojitokeza katika mkutano wa hadhara wa Ado Shaibu huko Buchosha.

SOMA: Tutawataja mafisadi kwenye korosho, ufuta – Ado

Wananchi waliojitokeza katika mkutano wa hadhara wa Ado Shaibu huko Buchosha.

SOMA: Ado Shaibu aipa neno CCM

Habari Zifananazo

Back to top button