SONGWE; Shamrashamra za wananchi wa Tunduma katika mapokezi ya Rais Dk Samia Suluhu Hassan, mara baada ya kuwasili wakati akitokea Mkoa wa Rukwa leo Julai 18, 2024. (Picha na Kurugenzi ya Mawasiliano, Ikulu).
Soma: Picha: Mapokezi ya Rais Samia Tunduma
