PICHA: Majaliwa akomaa na jogging Dar

DAR ES SALAAM – Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Juni 16, 2024 ameshiriki katika Tamasha la Jogging lililoandaliwa na kituo cha Televisheni na Radio cha EFM.

Jogging hiyo ya Kilomita tano imeanzia katika viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe hadi Tangi Bovu mbezi na kurejea viwanja vya Tanganyika Packers jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Afya Ummy Mwalimu pia ameshiriki jogging hiyo.

Advertisement