Picha: Matukio mechi ya Kaizer Chiefs v Yanga

AFRIKA KUSINI: Matukio mbalimbali kwenye mchezo wa kuwania Kombe la Toyota kati ya Kaizer Chiefs na Yanga kwenye Uwanja wa Toyota nchini Afrika Kusini leo. Yanga imeshinda mabao 4-0 na kutwaa kombe hilo. (Picha kwa hisani ya Yanga).

Advertisement