PRETORIA – Rais Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Waterkloof Pretoria nchini Afrika Kusini tarehe 18 Juni, 2024. Rais Samia anatarajia kuhudhuria hafla ya Uapisho wa Rais mteule wa nchi hiyo Cyril Ramaphosa kesho, Juni 19, 2024.


