Rais Samia akutana na Mtendaji Mkuu wa K-Finco

Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Fedha ya Korea kwa ajili ya Ujenzi (K-Finco) Bibi , Eun Jae Lee Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Julai, 2024.